Miche elfu-5 ya miti yapandwa gereza la King’ong’o, kaunti ya Nyeri
Description (show more)
Miche5,000 ya miti imepandwa katika gereza la King’ong’o lililoko katika kaunti ya Nyeri. Katibu wa idara ya urekebishaji tabia Dkt Salome Beacco amesema shughuli hiyo ni sehemu ya juhudi za kupiga jeki azma ya serikali ya kupanua utandu wa misitu na kuimarisha uhifadhi mazingira. Dkt Beacco alitoa wito wa ushirikiano miongoni mwa Wakenya ili kufanikisha juhudi hizo. Haya yanajiri kabla ya shughuli za kitaifa za upanzi miti zinazotarajiwa kufikia kilele wakati wa maadhimisho ya siku ya Mazingira tarehe 10 mwezi huu. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:53
2:21MUTURI: Gachagua chandowa | #RamogiTV
1:39
3:25Sakaja joins ODM, sets sights on 2027 re-election bid
2:01Six killed, five injured in accident on Narok-Njoro Road
3:02Moyale: 65-Year-Old woman shot dead as Ethiopia conflict spills over to Kenya
2:07MUTURI: Gachagua chandowa | #RamogiTV
4:04