Nyoro adai njama ya kumpa Dangote umiliki wa KPC
Description (show more)
Mbunge wa Kiharu, ambaye pia ni kinara wa chama cha People’s Party of Kenya, Ndindi Nyoro, sasa anadai kuwa umiliki wa takriban asilimia 25 ya hisa za kampuni ya kusambaza mafuta nchini, KPC, ni njama ya kumhakikishia mfanyabiashara Aliko Dangote na Rais William Ruto umiliki wa kampuni hiyo. Nyoro pia anadai kuwa Rais Ruto anaingilia mchakato wa ununuzi na uuzaji wa hisa za KPC kupitia taasisi za serikali, ambazo baadaye zitamwachia hisa zote bilionea huyo kutoka Nigeria. Brenda Wanga ana kina cha taarifa hiyo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:45
2:18
2:19Journalists decry impunity over attacks and rights violations
1:21Karua condemns alleged abduction of Tanzanian activist
· 1 views
1:08:10Ũmũthĩ na Rũciũ rwa Mũng’ethanĩro #Kĩrĩrĩmbĩ
· 7 views
1:39Sakaja officially joins ODM ahead of 2027 re-election bid
· 5 views
15:56CITIZEN TV NEWS BRIEFS AT 4PM ~ NOV 2, 2026
· 15 views
21:27Ũrũmwe wa Mũng’ethanĩro Kabirũ-inĩ #UgeWaku PART 4
· 3 views
