Kenyans Live

Wadau wa elimu na Wazazi wataka serikali kuboresha miundombinu ya shule ya St. Dorcas

Description (show more)

Wadau wa elimu na wazazi katika shule ya St. Dorcas Special School iliyoko eneo bunge la Mosop, Kaunti ya Nandi, wameitaka serikali kuboresha miundombinu ya shule hiyo inayohudumia watoto wenye mahitaji maalum,.

Share: