Polisi wachunguza vifo vya watoto wawili kwenye moto Gachague
Description (show more)
Polisi katika eneo la Gachague wanachunguza kisa ambapo watoto wawili waliteketea hadi kufa ndani ya nyumba. Mtoto mmoja hata hivyo aliokolewa kutoka roshani ya ghorofa ya nne katika tukio la kishujaa lililoshangiliwa na walioshuhudia. Maswali sasa yanaibuka kuhusu iwapo watoto hao waliteketezwa kimakusudi au ikiwa ilikuwa ajali. Gatete Njoroge ana taarifa zaidi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:45
2:18
2:19Journalists decry impunity over attacks and rights violations
1:21Karua condemns alleged abduction of Tanzanian activist
· 1 views
1:08:10Ũmũthĩ na Rũciũ rwa Mũng’ethanĩro #Kĩrĩrĩmbĩ
· 7 views
1:39Sakaja officially joins ODM ahead of 2027 re-election bid
· 5 views
15:56CITIZEN TV NEWS BRIEFS AT 4PM ~ NOV 2, 2026
· 15 views
21:27Ũrũmwe wa Mũng’ethanĩro Kabirũ-inĩ #UgeWaku PART 4
· 3 views
