Kenyans Live

Taarifa mseto kutoka magatuzini

Description (show more)

Idara ya mahakama imependekeza bajeti ya shilingi bilioni 50.7, kufadhili mwaka wa matumizi wa fedha wa 2027/28 ili kuhakikisha haki inapatikana na kupunguza idadi ya kesi na mizozo inayoweza kutokana na uchaguzi mkuu wa mwaka 2027. Msajili mkuu katika Idara ya mahakama , Winfridah Mokaya , amesema Idara ya mahakama inahitaji shilingi bilioni 46.2 kwenye bajeti ya sasa na shilingi bilioni 4.5 zitakazotumiwa kwa maendeleo . Haya na mengine ni kwenye mkusanyiko wa taarifa kutoka magatuzini. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: