Waiguru apigiwa upatu kuwa mwaniaji mwenza wa rais Ruto
Description (show more)
Baadhi ya wachanganuzi wa siasa wameendelea kumpigia debe Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru kuteuliwa kuwa mgombea mwenza wa rais William Ruto katika uchaguzi mkuu wa 2027. Kulingana nao, Waiguru, amehudumu katika nyadhifa mbalimbali serikalini, hivyo basi ana uzoefu wa kitaifa na uwezo wa kufikia makundi tofauti ya wakenya. Hata hivyo, uchaguzi wa mgombea mwenza bado haujatangazwa rasmi, huku majina ya viongozi mbalimbali yakiendelea kujitokeza kadri vyama na viongozi wanavyojipanga kuelekea uchaguzi wa 2027. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKN Follow us on Twitter: https://twitter.com/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #KBCchannel1 #Kenya #News
Related Videos
More from KBC Channel 1
2:53
2:21MUTURI: Gachagua chandowa | #RamogiTV
1:39
3:25Sakaja joins ODM, sets sights on 2027 re-election bid
2:01Six killed, five injured in accident on Narok-Njoro Road
3:02Moyale: 65-Year-Old woman shot dead as Ethiopia conflict spills over to Kenya
2:07MUTURI: Gachagua chandowa | #RamogiTV
4:04