Kenyans Live

Kamati ya elimu yakusanya maoni kuhusu usimamizi wa JSS

Description (show more)

Kamati ya bunge kuhusu maswala ya elimu inayoongozwa na Julius Meli ambaye pia ni mbunge wa Tinderet,imezuru Turkana kutathmini utendekazi wa elimu ya sekondari msingi nchini JSS,jinsi ya kuiboresha na kusuluhisha changamoto zinazoukumbwa mtaala huu mpya wa CBE.

Share: