Kenyans Live

Teknolojia ya kisasa ya afya kuboresha huduma za matibabu

Description (show more)

Vifaa vya kisasa vya teknolojia ya afya vina mchango mkubwa katika kuboresha huduma za afya. Vifaa hivyo huwasaidia madaktari kugundua magonjwa mapema, kutoa matibabu sahihi, kupunguza vifo na kuboresha maisha ya wagonjwa. Katika kipindi cha Siha na Maumbile wiki hii, Mwanahamisi Hamadi anaangazia nafasi ya teknolojia ya kisasa katika kuboresha afya ya jamii na upatikanaji wa vifaa hivyo katika vituo vya afya na hospitali mbalimbali humu nchini.

Share: