Kenyans Live

Muturi na Matiang’i wakosoa kauli za Gachagua kuhusu muungano wa upinzani

Description (show more)

Kinara wa Democratic Party, Justin Muturi, sasa anamtaka mwenzake wa DCP, Rigathi Gachagua, kuwaheshimu vinara wote ndani ya muungano wa upinzani, akilalamikia kudhalilishwa na kinara huyo. Siku tatu baada ya Gachagua kusema vyama vya DCP, Linda Mwananchi na Wiper ndivyo vitakavyomng’oa Rais William Ruto mamlakani, kinara wa Jubilee Fred Matiang’i pia amekosoa kauli hizo, akisema zinaendelea kuongeza mgawanyiko ndani ya upinzani. Emmanuel Too anaarifu.

Share: