Serikali kutumia shilingi bilioni 6.4 kupanua NYS
Description (show more)
Serikali imetenga shilingi bilioni 6.4 kupanua huduma ya vijanakwa taifa (NYS). Waziri wa utumishi wa umma Geoffrey Ruku amesema mradi huo utawezesha taasisi hiyo kujenga miundomsingi na katika utoaji mafunzo kwa mujibu wa agizo la Rais William Ruto kwamba kufikia mwaka 2028, liweze kuwasajili makurutu laki moja. Ruku alisema haya wakati alipoongoza gwaride la kufuzu kwa makurutu elfu 15,000 wa chuo cha NYS huko Gilgil katika kaunti ya Nakuru. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive
Related Videos
More from KBC Channel 1
40:31#iNooroHwaiinĩ (02/11/2026)
· 70 views
2:31Muturi na Matiang’i wakosoa kauli za Gachagua kuhusu muungano wa upinzani
· 514 views
3:50Kĩrabu kĩa Nyeri Allstars kũnora taranda cia athaki anini
· 8 views
3:05Sakaja ajiunga na ODM kutetea kiti cha ugavana Nairobi
· 212 views
2:40Mĩtino ya bodaboda kũingĩha Molo
· 17 views
2:48IPOA yapokea malalamishi 17 ya dhuluma dhidi ya wanahabari
· 32 views
26:55Ũrĩmi wa Kĩrĩu na Bengi ya Equity #MũgamboWaMũrĩmi
· 52 views
1:45Ngabana Sakaja kũigĩra ODM
· 23 views
