Kenyans Live

Sakaja ajiunga na ODM kutetea kiti cha ugavana Nairobi

Description (show more)

Gavana wa Nairobi Johnson Sakaja ameondoka chama tawala cha UDA na kujiunga na ODM, atakachotumia kutetea kiti cha ugavana Nairobi. Sakaja anasema uamuzi wake umeathiriwa pakubwa na mwanzilishi wa chama hicho Raila Odinga pamoja na sera za uongozi wake. Ben Kirui anaarifu.

Share: