Kenyans Live

Wakazi wa marimanti kaunti ya Tharaka Nithi wapata matibabu ya bure

Description (show more)

Wakazi wa Marimanti, Kaunti ya Tharaka Nithi, wamepatiwa huduma za matibabu bila malipo katika kambi ya afya. Kina mama wamehimizwa pia kujisajili katika mpango wa bima ya afya wa SHA.

Share: