Kenyans Live

Wandani wa Rais Ruto Kaunti ya Trans Nzoia wamtaka Gavana Natembeya kuweka kando tofauti za kisiasa

Description (show more)

Wandani wa Rais William Ruto katika Kaunti ya Trans Nzoia wamemrai Gavana George Natembeya kuweka kando tofauti za kisiasa na kufuata mfano wa Gavana wa Siaya, James Orengo, ambaye licha ya kuwa mkosoaji wa Rais Ruto, amekuwa akimkaribisha kuzindua miradi ya maendeleo katika kaunti yake.

Share: