Kenyans Live

Familia moja kijiji cha Ntigin Narok Mashariki yaomba msaada kumpata jamaa yao aliyepotea

Description (show more)

Familia moja katika kijiji cha Ntigin, eneo la Nairagie Enkare, Narok Mashariki, imehuzunika baada ya jamaa yao mwenye umri wa miaka 29 anayeugua kifafa kupotea.

Share: