Kenyans Live

Hassan Omar aiomba kamati ya IEBC kutupilia mbali kesi zinazohusiana na matamshi yake

Description (show more)

Katibu mkuu wa chama cha UDA, Hassan Omar, ameiomba kamati ya IEBC ya utekelezaji wa kanuni za maadili ya uchaguzi kutupilia mbali kesi zinazohusiana na matamshi yake yanayodaiwa kuwa ya uchochezi aliyowasilisha kwenye hafla ya kisiasa katika Kaunti ya Mombasa mnamo Septemba 11, mwaka wa 2026. Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as told by Kenyans. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows. Website: https://www.ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya

Share:

Related Videos

More from NTV Kenya