Kenyans Live

Washukiwa watatu wafikishwa mahakamani kwa madai ya kumteka nyara kijana wa miaka 16 Eastleigh

Description (show more)

Washukiwa watatu wanaodaiwa kumteka nyara mtoto mwenye umri wa miaka 16 kutoka mtaa wa Eastleigh jijini Nairobi wamefikishwa mahakamani kujibu mashtaka yanayowakabili.`

Share: