Kenyans Live

Taarifa mseto za biashara

Description (show more)

Zaidi ya wahudumu 800 wa boda boda katika kaunti ya Narok wamepata mafunzo kuhusu maswala ya kifedha ili kuwawezesha kufanya maamuzi bora kuhusu usimamizi wa kila siku wa biashara zao. Mafunzo hayo yaliyoandaliwa na kampuni ya Mogo Kenya kwa ushirikiano na chama cha Boda Boda humu nchini yuatawawezesha wahudumu hao kuimarisha mapato yao, kulipa mikopo yao na kulinda riziki zao. Kwa hizi na habari nyingine huu hapa ni mkusanyiko wa taarifa zetu za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: