Kenyans Live

Mwanahabari Nelson Musungu aomba msaada wa KSh 3M kwa matibabu ya figo

Description (show more)

Familia ya mwanahabari Nelson Musungu kutoka Lukhuna B, Eneobunge la Kimilili, Kaunti ya Bungoma, inaomba msaada wa kifedha kumwezesha kupata matibabu ya ugonjwa wa figo.

Share: