Ruto amkabidhi Mnangagwa uenyekiti wa COMESA
Description (show more)
Rais William Ruto amemkabidhi Rais wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa, uenyekiti wa Shirika la Soko la Pamoja la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kusini mwa Afrika, COMESA. Kwenye kikao cha 25 cha marais mjini Harare, Rais Ruto ameelezea imani yake kuwa uongozi wa Mnangagwa utaleta ufanisi zaidi na kuboresha biashara na uwekezaji kwa manufaa ya wakazi wa bara la Afrika. Rais wa Zimbabwe ametaja ustawi wa mabustani ya kibiashara, kilimo kinachohimili mabadiliko ya hali ya hewa na matumizi bora ya mali asili kuwa miongoni mwa masuala yatakayoimarisha biashara barani. Wanachama 21 wa muungano huo wanajadili mbinu za kuondoa vikwazo vya kibiashara na kuimarisha biashara kati ya mataifa ya Afrika.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:45
2:18
2:19Journalists decry impunity over attacks and rights violations
1:21Karua condemns alleged abduction of Tanzanian activist
· 1 views
1:08:10Ũmũthĩ na Rũciũ rwa Mũng’ethanĩro #Kĩrĩrĩmbĩ
· 7 views
1:39Sakaja officially joins ODM ahead of 2027 re-election bid
· 5 views
15:56CITIZEN TV NEWS BRIEFS AT 4PM ~ NOV 2, 2026
· 15 views
21:27Ũrũmwe wa Mũng’ethanĩro Kabirũ-inĩ #UgeWaku PART 4
· 3 views
