Kenyans Live

Karua ataka kuungwa mkono kuwania urais wa upinzani

Description (show more)

Kinara wa chama cha PLP, Martha Karua, amewataka wenzake kuunga mkono azma yake ya kupeperusha bendera ya muungano wa upinzani katika uchaguzi mkuu ujao. Haya yanajiri huku upinzani ukisisitiza kuwa utamteua mgombea mmoja wa urais kukabiliana na Rais William Ruto katika uchaguzi huo. Viongozi hao wamewataka Wakenya kuwaunga mkono katika azma yao ya kumwondoa Rais Ruto mamlakani kupitia uchaguzi wa mwaka ujao. Chrispine Otieno ana mengi zaidi.

Share: