Watu watatu wafariki baada ya kunywa pombe inayoshukiwa kuwa na sumu Kiambu
Description (show more)
Watu watatu wamefariki na mwingine amelazwa katika hali mbaya baada ya kunywa pombe inayoshukiwa kuwa na sumu katika kijiji cha Kimende, eneo bunge la Lari, Kaunti ya Kiambu. Pombe hiyo inayodaiwa kutengenezwa kienyeji ilisambazwa katika maduka ya kijiji hicho. Jamaa za waathiriwa wanaitaka serikali kuchukua hatua kali dhidi ya pombe haramu ambayo haijafikia viwango vya ubora vinavyohitajika.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:55Jopuonj mag JSS ochwalo ng'ur ma gisebedo ka gikale
1:30
1:48ORPP na wadau wahimiza vyama vya kisiasa kuendesha chaguzi za mchujo kwa uwazi
· 3 views
1:20Riwruok mar jochiw thieth KUCO, Uasin Gishu dhi nyime gi ng'anyo
1:29Wawakilishi wadi kaunti ya Nandi wataka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya viongozi wachochezi
· 7 views
1:12:20Kũmuramura Magathĩti #INooroRūciinĩ
· 30 views
1:09
1:54Wanawake Garbatula waimarisha vita dhidi ya ukeketaji wakati wa likizo za shule
· 8 views
