Familia za Mlima Elgon zataka serikali kusaidia jamaa waliotekwa Ukraine
Description (show more)
Familia mbili katika eneo la Mlima Elgon zinaiomba serikali kuingilia kati na kusaidia kuachiliwa kwa jamaa zao wawili wanaozuiliwa nchini Ukraine. Evans Kibet na Haron Kibet Pachenje, ambao wanatoka eneo hilo, wanaripotiwa kuwa mateka wa vita waliokamatwa na jeshi la Ukraine wakati wa mapigano kati ya Ukraine na Urusi. Familia zao zinasema wawili hao wanateseka gerezani bila msaada wowote na zinaitaka serikali kuchukua hatua kuhakikisha wanapata msaada na kurejea nyumbani.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:53
2:21MUTURI: Gachagua chandowa | #RamogiTV
1:39
3:25Sakaja joins ODM, sets sights on 2027 re-election bid
· 88 views
2:01Six killed, five injured in accident on Narok-Njoro Road
3:02Moyale: 65-Year-Old woman shot dead as Ethiopia conflict spills over to Kenya
· 32 views
2:07MUTURI: Gachagua chandowa | #RamogiTV
4:04Muturi accuses Gachagua of bullying and tribal politics in opposition
· 160 views
