Viongozi wa upinzani wakosoa ahadi za Ruto kuhusu afueni ya ushuru
Description (show more)
Viongezi wa upinzani wamekosoa Ahadi za Rais William Ruto alizotoa kwenye hafla ya Mashujaa jijini Eldoret, kuhusu afueni ya ushuru wa mishahara na bidhaa zingine. Wakizungumza kwenye mkutano wa kisiasa huko Njoro, Kaunti ya Nakuru, Viongozi hao wanasema kuwa Rais Ruto anatumia ahadi hizo kuwahadaa wananchi kumpigia kura, huku wakitilia shaka mwelekeo wa kiuchumi wa nchi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:53
2:21MUTURI: Gachagua chandowa | #RamogiTV
1:39
3:25Sakaja joins ODM, sets sights on 2027 re-election bid
· 88 views
2:01Six killed, five injured in accident on Narok-Njoro Road
3:02Moyale: 65-Year-Old woman shot dead as Ethiopia conflict spills over to Kenya
· 32 views
2:07MUTURI: Gachagua chandowa | #RamogiTV
4:04Muturi accuses Gachagua of bullying and tribal politics in opposition
· 160 views
