Azimio la Umoja lapata jina jipya, sasa Muungano wa Ukombozi
Description (show more)
Muungano wa Azimio la Umoja umebadili jina na kupata sura mpya ya Muungano wa Ukombozi, chini ya mwaka mmoja kabla ya uchaguzi mkuu. Wakiongozwa na Kalonzo Musyoka, viongozi wa Muungano wa Ukombozi wamewahimiza Wakenya kutotapatapa, wakisisitiza kuwa upinzani utashirikiana na viongozi wengine, wakiwemo wale wa Linda Mwananchi. Willy Lusige ana taarifa zaidi kuhusu mabadiliko hayo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:55Jopuonj mag JSS ochwalo ng'ur ma gisebedo ka gikale
1:30
1:48ORPP na wadau wahimiza vyama vya kisiasa kuendesha chaguzi za mchujo kwa uwazi
· 3 views
1:20Riwruok mar jochiw thieth KUCO, Uasin Gishu dhi nyime gi ng'anyo
1:29Wawakilishi wadi kaunti ya Nandi wataka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya viongozi wachochezi
· 7 views
1:12:20Kũmuramura Magathĩti #INooroRūciinĩ
· 30 views
1:09
1:54Wanawake Garbatula waimarisha vita dhidi ya ukeketaji wakati wa likizo za shule
· 8 views
