Rais William Ruto asema akiliunde imeleta mabadiliko katika sekta mbalimbali nchini
Description (show more)
Rais William Ruto ameendelea na ziara yake nchini Marekani, akifanya mazungumzo na washikadau pamoja na viongozi wa mashirika tofauti duniani. Katika mkutano wa ngazi ya juu jijini New York , Rais Ruto amezungumzia athari zinazoongezeka kutokana na matumizi ya akiliunde, akisema teknolojia hiyo tayari inabadilisha sekta muhimu kama elimu, afya, fedha, serikali na miundo mbinu muhimu.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:55Jopuonj mag JSS ochwalo ng'ur ma gisebedo ka gikale
1:30
1:48ORPP na wadau wahimiza vyama vya kisiasa kuendesha chaguzi za mchujo kwa uwazi
· 3 views
1:20Riwruok mar jochiw thieth KUCO, Uasin Gishu dhi nyime gi ng'anyo
1:29Wawakilishi wadi kaunti ya Nandi wataka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya viongozi wachochezi
· 7 views
1:12:20Kũmuramura Magathĩti #INooroRūciinĩ
· 30 views
1:09
1:54Wanawake Garbatula waimarisha vita dhidi ya ukeketaji wakati wa likizo za shule
· 8 views
