Kenyans Live

Suala la usawa katika uwakilishi laelekwa mahakamani

Description (show more)

Ombi limewasilishwa katika tume ya utekelezaji wa haki kuhusiana na kucheleweshwa kwa utekelezaji wa sheria ya thuluthi mbili za uwakilishi wa kijinsia. Mlalamishi,wakili Ekaterina M. Handa amemshtaki msajili wa mahakama kuu kwa kukosa kuwasilisha maagizo ya mahakama ambayo yangeanzisha mchakato wa kikatiba wa kuvunja bunge kwa kukosa kuweka sheria ya uwakilishi huo wa jinsia. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: