Hassan Omar atetea matamshi yake kuhusu wafu kupiga kura
Description (show more)
Katibu Mkuu wa chama cha UDA, Hassan Omar, amesema hajutii matamshi yake kuhusu wafu kupiga kura katika uchaguzi mkuu ujao. Akijitetea mbele ya kamati ya nidhamu ya Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC), Omar alisema matamshi hayo yalikuwa ya kimafumbo, yakilenga kuwahamasisha wakazi wa Pwani kujisajili kwa wingi kama wapigakura.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:53
2:21MUTURI: Gachagua chandowa | #RamogiTV
1:39
3:25Sakaja joins ODM, sets sights on 2027 re-election bid
· 88 views
2:01Six killed, five injured in accident on Narok-Njoro Road
3:02Moyale: 65-Year-Old woman shot dead as Ethiopia conflict spills over to Kenya
· 32 views
2:07MUTURI: Gachagua chandowa | #RamogiTV
4:04Muturi accuses Gachagua of bullying and tribal politics in opposition
· 160 views
