Kenyans Live

Watu wawili wafariki katika ajali ya ndege Kipeto, Kajiado

Description (show more)

Watu wawili ambao ni Mwalimu na mwanafunzi wake wamefariki baada ya kuhusika kwenye ajali ya Ndege ya chuo cha urubani cha kenya katika aneo la Kipeto, Kajiado Magharibi

Share: