Kenyans Live

Mkaguzi afichua ubadhirifu wa mabilioni katika shule za kitaifa

Description (show more)

Mkaguzi wa hesabu za serikali amefichua ubadhirifu wa fedha katika shule za kitaifa nchini. Walimu wametajwa kuhusishwa na matumizi ya mabilioni ya fedha katika shule hizo, ambazo zimebadilishwa kuwa C1 chini ya mtaala wa sasa wa elimu. Baadhi ya walimu wa shule hizo za kitaifa waliofika mbele ya Bunge walibanwa kueleza matumizi ya fedha yaliyolipwa bila kuzingatia sheria.

Share: