Kenyans Live

Wafanyakazi wa kaunti ya Machakos walalamikia kucheleweshwa kwa mishahara

Description (show more)

Wafanyakazi wa Kaunti ya Machakos wameandamana wakilalamikia kucheleweshwa kwa mishahara yao. Wafanyakazi hao walifanya maandamano wakitaka suala hilo lishughulikiwe.

Share: