Kenyans Live

Kaunti ya Homa Bay yadhamiria kuvunja rekodi ya upanzi miti

Description (show more)

Kaunti yaHoma Bay inalenga kuvunja rekodi ya dunia kwa kupanda miche 92,000 ya miti ya mivinje katika muda wa dakika 60 kwenye msitu wa Lambwe Forest. Mhifadhi mkuu wa misitu katika kaunti ya Homa Bay Sharon Cheluget amesema kaunti inanuia kuwashirikisha maelfu ya wakazi kwenye shughuli hiyo wakati wa maadhimisho ya siku ya Mazingira, tarehe 10 mwezi huu na hivyo kuandikisha rekodi kwenye kitabu cha Guinness. Mpango hupo pia ni sehemu ya kuchangia kwenye azma ya serikali ya kupanda miti bilioni 15 ifikapo mwaka 2032. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: