Kenyans Live

Wafanyabiashara Homa Bay wataka hatua zaidi kuchukuliwa dhidi ya wahuni

Description (show more)

Wafanyabiashara katika mji wa Homa bay Bado wanatoa wito kwa asasi za usalama kukaza kamba kwenye oparesheni dhidi ya wahuni ambao wamewaangaisha kwa muda mrefu. Ni hali ambayo wanasema imewatia hofu na kulemaza pakubwa biashara zao.

Share: