Serikali yajitetea kuhusu bei ya mafuta huku gharama ya uchukuzi ikipanda
327 viewsYouTube
Description (show more)
Huku Wakenya wakiendelea kutaabika kutokana na ongezeko la bei ya mafuta, waziri wa kawi Opiyo Wandayi amesema kuwa serikali inajizatiti kudhibiti bei hiyo. Akizungumza jijini Kisumu, Wandayi amesema kuwa mfumo wa uagizaji wa G to G umekinga taifa kutokana na uhaba wa mafuta na kuwa serikali inatumia ruzuku kudhibiti bei ya bidhaa hiyo . Semi hizo zinajiri wakati ambapo gharama ya uchukuzi tayari imeongezeka huku wanaharakati wakipanga maandamano wiki ijayo kuishinikiza serikali kupunguza bei ya mafuta ya petroli.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:19Ruto allies challenge opposition ahead of 2027 election
13:20Charity Muthoni Highlights Forest Conservation and and Illegal Logging
· 3 views
2:49IG Kanja ordered to appear in court over missing Tanzanian activist
· 35 views
3:00
3:35Kenyan journalists decry attacks and impunity as 13 complaints filed with IPOA
· 15 views
53:27LIVE | OIMORE | 02/11/2026
· 4 views
1:04KenGen secures Sh10.5B funding for a battery storage for excess wind and solar power
· 14 views
1:15Nakuru Truck Driver Wins KSh 102M SportPesa Jackpot After Correctly Predicting 15 Matches
· 25 views
