Kenyans Live

Vijana wa humu nchini wanashauriwa kugeukia mafunzo ya kiufundi

Description (show more)

Vijana wa humu nchini wanashauriwa kugeukia mafunzo ya kiufundi ndiposa wafaidike na nafasi za kazi, ujasiriamali na ajira ughaibuni. Mkuu wa chuo cha kiufundi cha Karumo, huko Meru, Florah Kanyua amesema hitaji la wafanyakazi wenye ujuzi linazidi kuongezeka huku idadi yao ikisalia ya chini mno. Wanafunzi 3,190 wa chuo hicho wanatarajiwa kufuzu kwa taaluma mbalimbali wakiwemo 60 ambao ujuzi wao unatambuliwa licha ya kutokuwa na masomo rasmi. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: