Bunge lataka suluhu ya haraka kwa mgomo wa wahadhiri
Description (show more)
Bunge la Taifa sasa linaitaka Wizara ya Elimu na wafanyakazi wa vyuo vikuu kukomesha mara moja mgomo ambao umeingia wiki ya tatu. Wabunge wanasema wanafunzi wameendelea kuathirika na kupoteza muda wao wa masomo kutokana na mgomo huo. Haya yanajiri huku Katibu wa Elimu ya Juu, Beatrice Inyangala, akieleza kamati ya bunge kuwa Wizara ya Elimu inaendelea kufanya mazungumzo na wahadhiri pamoja na wafanyakazi wa vyuo vikuu kwa lengo la kupata suluhu. Seth Olale anaripoti.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
2:45
2:18
2:19Journalists decry impunity over attacks and rights violations
1:21Karua condemns alleged abduction of Tanzanian activist
· 1 views
1:08:10Ũmũthĩ na Rũciũ rwa Mũng’ethanĩro #Kĩrĩrĩmbĩ
· 7 views
1:39Sakaja officially joins ODM ahead of 2027 re-election bid
· 5 views
15:56CITIZEN TV NEWS BRIEFS AT 4PM ~ NOV 2, 2026
· 15 views
21:27Ũrũmwe wa Mũng’ethanĩro Kabirũ-inĩ #UgeWaku PART 4
· 3 views
