Kenyans Live

Habari za Biashara | Wadau wa usafiri wazindua mikakati ya kuhifadhi mazingira

Description (show more)

Wazalishaji wa bidhaa za kilimo ambazo thamani yake imeimarishwa wanapaswa kuzalisha aina mbali mbali ya bidhaa na kulenga masoko mbali mbali barani Afrika.Waziri wa kilimo Mutahi Kagwe anawahimiza watayarishaji wa bidhaa hizo kutayarisha bidhaa zinazohitajika katika masoko ya Afrika ili kuongeza mauzo yao,kuthibiti uuzaji bidhaa nje na kupata masoko mapya.Kwa habari hizi na nyingine hapa ni mkusanyiko wa habari za biashara. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: