Kenyans Live

Maafisa wa UDA kaunti ya Vihiga wasifu miradi ya serikali na kukosoa upinzani

Description (show more)

Maafisa wa mashinani wa UDA kutoka Kaunti ya Vihiga wamepongeza miradi ya maendeleo iliyoanzishwa na serikali ya Kenya Kwanza na kuukosoa upinzani kwa kufanya siasa kila jambo.

Share: