Kenyans Live

Serikali kusajili maafisa zaidi ya 150 wa polisi wa akiba kaunti ya Turkana

Description (show more)

Kamishna wa kaunti ya Turkana, Julius Kavita, amesema serikali inatarajia kusajili zaidi ya maafisa 150 wa Polisi wa akiba (NPR) ili kuongeza nguvu kazi ya kukabiliana na majangili na wezi wa mifugo wanaowahangaisha wakazi katika mpaka wa kaunti za Turkana na Pokot Magharibi.

Share: