Kenyans Live

Maafisa tabibu Lamu watetea makubaliano yao na kaunti

Description (show more)

Maafisa tabibu katika Kaunti ya Lamu bado hawajafikia makubaliano na uongozi wa kaunti. Mzozo huo umeendelea huku pande hizo zikijadiliana kuhusu madai ya wahudumu hao.

Share: