Kenyans Live

Watu wenye ulemavu Uasin Gishu watishia kuandamana

Description (show more)

Muungano wa watu wenye ulemavu katika Uasin Gishu umetishia kuandamana ukidai kuwa fedha zilizotengwa kwa ajili yao zimetumiwa vibaya na kaunti.

Share: