Kenyans Live

Rais Ruto awatahadharisha wanaowahangaisha maskwota Pwani

Description (show more)

Rais William Ruto ametoa onyo kwa walaghai na wamiliki wa mashamba yasiyostawishwa ambao anasema wanawahangaisha maskwota katika eneo la Pwani. Rais Ruto aliyetoa hati miliki elfu 4, 360 katika kaunti ya Mombasa hivi leo, alisema siku za kuwalaghai wapangaji wasiojiweza zimefika kikomo, na kutoa hakikisho kuwa serikali inafanya kila juhudi kutatua suala la maskwota. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive

Share: