Muuguzi Kitale aongoza jitihada za kuokoa vijana kutoka uraibu wa dawa za kulevya
Description (show more)
Kifo cha nduguye kutokana na uraibu wa dawa za kulevya kilimfungulia Monica Kilong’i ukurasa mpya kwenye maisha yake. Badala ya kukata tamaa, aliamua kuanza safari ya kuwaokoa waraibu wa pombe na dawa za kulevya Na kufungua kituo eneo la laini moja viungani mwa mji Wa Kitale. Monica ambaye ni muuguzi , sasa huzunguka mitaani kuwatafuta vijana, kuwapa mawaidha na kuwaelekeza katika vituo vya urekebishaji. Hebu tusikilize simulizi yake katika makala yetu ya mwanamke bomba.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:55Jopuonj mag JSS ochwalo ng'ur ma gisebedo ka gikale
1:30
1:48ORPP na wadau wahimiza vyama vya kisiasa kuendesha chaguzi za mchujo kwa uwazi
· 3 views
1:20Riwruok mar jochiw thieth KUCO, Uasin Gishu dhi nyime gi ng'anyo
1:29Wawakilishi wadi kaunti ya Nandi wataka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya viongozi wachochezi
· 7 views
1:12:20Kũmuramura Magathĩti #INooroRūciinĩ
· 30 views
1:09
1:54Wanawake Garbatula waimarisha vita dhidi ya ukeketaji wakati wa likizo za shule
· 8 views
