Kenyans Live

Viongozi wa Samburu wataka fidia kwa mifugo iliyouawa na polisi

Description (show more)

Viongozi wa Samburu wameendelea kuishinikiza serikali kufidia familia ambazo mamia ya mifugo wao waliuawa kwa kupigwa risasi na maafisa wa polisi wakati wa operesheni ya usalama katika eneo la Losesia, Samburu Mashariki. Viongozi hao pia wanataka maafisa waliohusika kuchukuliwa hatua za kisheria.

Share: