Kenyans Live

Wadau wajadili uhifadhi wa data za wanyamapori na viumbe wa majini

Description (show more)

Wadau katika sekta ya kuhifadhi wanyamapori na viumbe wa baharini humu nchini wamekutana mjini malindi kaunti ya kilifi kujadili na kutoa maoni kuhusu uundaji wa kituo cha kuhifadhi data za wanyamapori cha kitaifa.

Share: