Wanga amtaka Uhuru kukoma kurejelea uchaguzi wa 2022
Description (show more)
Hayo yakijiri, hisia zimeendelea kuibuka kuhusu matamshi ya Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kufuatia kauli zake kuhusu matokeo ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2022. Mwenyekiti wa kitaifa wa ODM Gladys Wanga sasa amemtaka Rais Mstaafu Uhuru Kenyatta kukoma kuwachochea Wakenya anaporejelea uchaguzi huo, akidai kuwa alimhadaa hayati Raila Odinga. Wanga amezungumza katika Kaunti ya Kajiado, huku hisia nyingine zikitolewa na kinara wa Wiper Kalonzo Musyoka na kinara wa chama cha PM na Mbunge Caleb Amisi.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
3:59
2:10Kaunti zahimizwa kuwekeza katika afya ya uzazi zaidi kuzuia maafa
2:46Mwanaume Shinyalu Akamatwa kwa Tuhuma za Kumuua Shemejiye kwa Panga
2:35Mzozo Kirinyaga Baada ya Chupi Zenye Jina la Seneta Murango Kusambazwa
· 1 views
56:30Kĩmone kĩa Ritho Gũikũrũka #ŨriaNdagĩtarĩ
· 1 views
2:07KUPPET kũruta mũkana wa arutani kũgomera igeranio
2:50ACK Yataka IEBC Kuhakikisha Uchaguzi wa 2027 Ni Huru na wa Haki
· 1 views
1:24Kanisa la Kianglikana lawasha moto kuhusu hali ya uchumi Kenya
· 8 views
