Wadau wa soka ya ufukweni Kilifi walalamikia kujiondoa kwa Kenya kwenye mchuano wa AFCON
Description (show more)
Wadau wa soka ya ufukweni katika Kaunti ya Kilifi wameelezea masikitiko yao baada ya Kenya kujiondoa katika mchuano wa kufuzu Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Libya. Kujiondoa kwa Kenya kumeifanya Libya kupita moja kwa moja hadi raundi ya pili ya michuano hiyo, huku Kenya ikikosa nafasi ya kupigania tiketi ya fainali za AFCON Beach Soccer 2026. Msimamizi wa soka ya ufukweni Kilifi, Twaheer AbdulKareem, amesema uamuzi huo umewaathiri vijana waliokuwa wamejiandaa kuiwakilisha nchi. Wadau hao sasa wanataka Shirikisho la Soka Nchini, FKF, kutoa maelezo ya wazi kuhusu sababu za Kenya kujiondoa katika michuano hiyo.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:55Jopuonj mag JSS ochwalo ng'ur ma gisebedo ka gikale
1:30
1:48ORPP na wadau wahimiza vyama vya kisiasa kuendesha chaguzi za mchujo kwa uwazi
· 3 views
1:20Riwruok mar jochiw thieth KUCO, Uasin Gishu dhi nyime gi ng'anyo
1:29Wawakilishi wadi kaunti ya Nandi wataka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya viongozi wachochezi
· 7 views
1:12:20Kũmuramura Magathĩti #INooroRūciinĩ
· 30 views
1:09
1:54Wanawake Garbatula waimarisha vita dhidi ya ukeketaji wakati wa likizo za shule
· 8 views
