Kenyans Live

Ajali mbili za barabarani zaua watu 10 Machakos na Kisii

Description (show more)

Watu 10 wamefariki katika ajali mbili tofauti katika kaunti za Machakos na Kisii ndani ya muda wa saa 24, huku wengine kadhaa wakijeruhiwa.

Share: