Kenyans Live

Wafanyabiashara wataka serikali kuongeza ufadhili kwa KEPROBA

Description (show more)

Wafanyabiashara wadogowadogo humu nchini wameelezea kufaidi na juhudi za Wakala wa ukuzaji mauzo ya Nje KEPROBA katika soko la kimatifa,na kutoa wito kwa serikali kuwapa fedha za kutosha kuendesha majukumu yake.

Share: