Mahakama Kuu yatupilia mbali ombi la Omtatah la kuharamisha kituo cha Bomas
Description (show more)
Mahakama Kuu imetupilia mbali ombi la kuitaka iharamishe Kituo cha Kitaifa cha Kuthibitisha na Kutangaza Matokeo ya Urais. Hii ni kufuatia kesi iliyowasilishwa na Seneta wa Busia Okiya Omtatah ambaye aliitaka mahakama kutaja shughuli za ujumlishaji wa kura za urais zinazofanyika katika Ukumbi wa Bomas kinyume na Katiba. Omtatah alihoji kuwa uamuzi wa mwisho unafaa kufanywa katika vituo vya maeneo bunge.
Related Videos
More from Citizen TV Kenya
1:55Jopuonj mag JSS ochwalo ng'ur ma gisebedo ka gikale
1:30
1:48ORPP na wadau wahimiza vyama vya kisiasa kuendesha chaguzi za mchujo kwa uwazi
· 3 views
1:20Riwruok mar jochiw thieth KUCO, Uasin Gishu dhi nyime gi ng'anyo
1:29Wawakilishi wadi kaunti ya Nandi wataka hatua kali kuchukuliwa dhidi ya viongozi wachochezi
· 7 views
1:12:20Kũmuramura Magathĩti #INooroRūciinĩ
· 30 views
1:09
1:54Wanawake Garbatula waimarisha vita dhidi ya ukeketaji wakati wa likizo za shule
· 8 views
