Kenyans Live

Mbunge wa Ganze Kenneth Kzungu akosoa KWS kwa uvamizi wa ndovu

Description (show more)

Mbunge wa Ganze Kenneth Kazungu Tungule amekosoa utendakazi wa KWS kutokana na uvamizi wa ndovu wa mara kwa mara katika eneo bunge hilo.

Share: